Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Mamia ya raia wa Uingereza wanaoiunga mkono Palestina walifanya maandamano katika mitaa ya Leeds na kutoa wito wa kusitisha mauaji ya halaiki ya Wazayuni kwa watu wa Gaza.
19 Novemba 2024 - 16:38
Msimbo wa Habari: 1506139