Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la habari la kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu ya maombolezo ya kifo cha kishahidi cha Hadhrat Fatima Zahra (s.a) imefanyika kwa kuhudhuriwa na kundi la Wapenzi na Wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) katika mji wa "Denver", Mji Mkuu wa jimbo la "Colorado" nchini Marekani.
20 Novemba 2024 - 17:52
News ID: 1506592