Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu ya kuadhimisha Siku za Fatimiyyah katika Jumuiya ya "Bait al-Abbas (a.s)" huko Kabul imefanyika kwa kuhudhuriwa na watu mbalimbali sambamba na Hotuba ya Hojjat-ul-Islam wal-Muslimina "Muhammad Reza Mudhaffar" na pamoja na maatam, kusoma mashairi ya kutaja fadhila, na tenzi za wasomaji mbalimbali.

25 Novemba 2024 - 14:43