Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul_Bayt (a s) - ABNA - Mashia wa Miji na Vijiji vya eneo la Bekaa Mashariki mwa Lebanon vimeshuhudia kurejea kwa Wakaazi wa Maeneo hayo baada ya kuanza rasmi usitishwaji wa vita kati ya Lebanon na Utawala Haram wa Kizayuni.
30 Novemba 2024 - 15:07
Msimbo wa Habari: 1509600