Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Majlisi ya Maombolezo ya Kuuawa Shahidi Hadhrat Fatimah (amani iwe juu yake), ilifanyika kwa kuhudhuriwa na watu wengi Wafuasi wa Shule ya (Shia Ithna Ashari) katika Husseiniyyah ya Ahlul-Bayt (a.s) katika Mji wa "Augsburg" Kusini Magharibi mwa Jimbo la "Bayern" nchini Ujerumani.
6 Desemba 2024 - 18:34
Msimbo wa Habari: 1511449