Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Masomo ya Qur'an yanafundishwa kwa wafuasi wa Shule ya Ahlul-Bayt(amani iwe juu yao), katika Shule ya Shia Ithna Ashari katika mji wa "Abidjan" huko nchini Ivory Coast.
15 Desemba 2024 - 13:43
News ID: 1513907