Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Hafla ya kuwakumbuka Mashahidi wa Mauaji dhidi ya Mashia katika Mji wa Zaria mwaka 2015 yaliyofanywa na Jeshi la Nigeria, imefanyika ikiambatana na Hotuba ya Sheikh Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hii, huko Abuja, Mji Mkuu wa Nigeria.
16 Desemba 2024 - 14:35
News ID: 1514189