Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu ya maombolezo ya Kifo cha Hadhrat Ummul_Banina (s.a) ilifanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Moscow katika Mji Mkuu wa Russia, huku ikihudhuriwa na Wapenzi na Wafuasi wa Ahlul-Bayt wa Isma na Watoharifu (amani iwe juu yao).

18 Desemba 2024 - 20:59