Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe ya kusherehekea Taklif ya Wasichana (waliofikia Umri wa kutekeleza Taklif / Wajibu) iliyofanyika sambamba na mnasaba wa kuzaliwa kwa Hadhrat Fatima Zahra (s.a) na kuhudhuriwa na Hojjat al-Islam wal - Muslimeen "Mohammed Reza Al-Ayoub", Mkuu wa Ofisi ya Mwakilishi wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) nchini Iraq katika haram ya Mtoto wa Imam Syed Hamzah Sharqi, katika Mji wa "Divaniyyah".
22 Desemba 2024 - 14:59
Msimbo wa Habari: 1515811