Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe ya kuzaliwa Hadhrat Fatima Zahra (s.a) ilifanyika kwa kuhudhuriwa na kundi la wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) katika Kituo cha Uislamu cha Imam Reza (a.s) huko Oslo, Mji Mkuu wa Norway.
23 Desemba 2024 - 19:25
News ID: 1516194