Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe ya kusherehekea kuzaliwa kwenye baraka kwa Hadhrat Fatima Zahra (s.a) zimefanyika kwa kuhudhuriwa na wafuasi wengi wa Shule (Madrasat) ya Ahlul-Bayt (a.s) huko Abuja, Mji Mkuu wa Nigeria.
24 Desemba 2024 - 13:28
News ID: 1516429