Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Hazrat Siddiqat al-Tahirah (s.a), na Siku ya akina Mama, baadhi ya Shule za "Hojjat al-Asr Society of Tanzania" / "Jumuiya ya Hojjat al-Asr ya Tanzania" ziliandaa programu ya kusherehekea kuzaliwa kwa Bibi huyo mpendwa.
25 Desemba 2024 - 15:27
News ID: 1516848