Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Programu maalum ya kusherehekea kuzaliwa kwa Hadhrat Zahra (amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake), na kuheshimu (kuadhimisha) hadhi ya Wanawake, ilifanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Moscow katika Mji Mkuu wa Urusi kwa kuhudhuriwa na idadi kubwa ya Wapenzi wa Bibi huyu mbora kuliko Wanawake wote wa Duniani na Akhera.
25 Desemba 2024 - 15:46
News ID: 1516859