Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe ya kuadhimisha Taklif ya Wasichana 22 wanaozungumza Kiarabu kutoka nchi za Syria, Iraq, Lebanon na Bahrain; sambamba na siku ya kuzaliwa kwa Hadhrat Fatima Zahra (amani iwe juu yake), ilifanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Haram Tukufu ya Ridhawi.
26 Desemba 2024 - 17:22
News ID: 1517218