Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Idadi ya vijana wanaomfuata Sheikh Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, walisherehekea Krismasi pamoja na Wakristo wenzao katika tukio la kuishi pamoja kwa Dini mbalimbali kwa kuhudhuria katika Kanisa Kuu la Mji wa Zaria.
26 Desemba 2024 - 17:24
News ID: 1517219