Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (s.s) - ABNA - Mkusanyiko mkubwa wa Wanawake wa Pakistan kwa mnasaba wa kuzaliwa kwa Hadhrat Fatima Zahra (amani iwe juu yake), na maadhimisho ya "Siku ya Mama" kwa namna ya mkutano unaoelezea Mwenendo (Sirah) wa Sayyidat Fatimah (s.a) na mshikamano kwa akina Mama na Mabinti waliodhulumiwa wa Gaza, umefanyika katika Mji wa "Lahore", Mji Mkuu wa Jimbo la "Punjab" la Pakistan.

28 Desemba 2024 - 19:43