Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (a.s) - Abna - Mufti Mkuu wa Croatia, ambaye amesafiri kwenda Iran chini ya Kiongozi wa Bodi Maalum, alitembelea Madhabahu / Haram Tukufu ya Mkarimu na Mtukufu wa Ahlul Bayt (a.s) katika Mji wa Qom.
28 Desemba 2024 - 19:45
News ID: 1517804