Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe ya ukumbusho wa kuuawa Shahidi Jenerali Qassem Suleimani, Abu Mahdi Al-Muhandis na Mashahidi wengine wa Mhimili wa Upinzani (Muqawamah) ilifanywa na Wanafunzi wanaozungumza Lugha ya Kiingereza wa Qom kwenye Ukumbi wa Kituo cha elimu cha Imam Khomeini (r.a) ndani ya Mji huu.

28 Desemba 2024 - 19:48