Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Kikundi cha Wanafunzi wa Pakistan wanaoshiriki katika kufanya Tabligh ya kueneza Maarifa ya Shule (Madrasat) ya Ushia katika Bara la Ulaya walikutana na Ayatollah Al_Udhma Jawad A'mouli nyumbani kwake, Qom, na ambaye ni mmoja wa Marajii Taqlid katika Ulimwengu wa Shia.

28 Desemba 2024 - 19:50