Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Swala ya Ijumaa iliswaliwa katika Eneo la Swala la Haram Tukufu ya Hadhrat Zainab (s.a) katika viunga vya Kusini mwa Damascus, Mji Mkuu wa Syria, kwa kuhudhuriwa na Wafuasi wa Madrasat (Shule) ya Shia.
28 Desemba 2024 - 19:55
News ID: 1517808