Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe ya Baraka na furaha ya kusherehekea Milad (Kuzaliwa) kwa Hadhrat Fatimah (amani iwe juu yake) ilifanyika kwa kuhudhuriwa na kundi la wafuasi wa Shule (Madrasat) ya Shia katika Mji wa Kano nchini Nigeria.
28 Desemba 2024 - 19:57
News ID: 1517809