Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Wanaharakati wanaoiunga mkono Palestina walifanya maandamano ya magari huko Mainz_Ujerumani katika kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Gaza.
31 Desemba 2024 - 03:58
News ID: 1518379