Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Wapalestina wanatatizika kuhama makazi yao na njaa kutokana na mashambulizi ya kihalifu ya Israel huko Gaza. Katika picha hapa chini, unaweza kuona jinsi hali ilivyo kwa Wapalestina waishio Khan Yunis, ambao wanalazimika kungoja katika foleni (ndefu) kwa masaa (kadhaa) ili kupata mlo wao na familia zao.
31 Desemba 2024 - 04:03
News ID: 1518382