Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (AS) - ABNA - Katika mkesha wa kuadhimisha kuzaliwa kwa Hadhrat Amir al-Mu'minina Ali bin Abi Talib (a.s), viwanja na ukumbi wa Madhabahu (Haram) Tukufu ya Alawi viko tayari kwa ajili ya kuwakaribisha Mazuwwari na Waumini Wapenzi na Wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) kwa kuweka mabango yenye maandishi ya Mnasaba huu yaliyopambwa kwa jina na lakabu za Hadhrat huyu mwema aliyebarikiwa.

8 Januari 2025 - 15:49