Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe ya kuzaliwa kwa Hadhrat Imam Jawad (a.s) ilifanyika mbele ya kundi la wapenzi na wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) katika Kituo cha Kiislamu cha Moscow, Mji Mkuu wa Urusi.
12 Januari 2025 - 18:16
News ID: 1522324-