Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - ABNA - Sherehe ya kuzaliwa kwa Amirul-Mu'minina Ali (a.s) ilifanyika katika Kituo cha Kiislamu cha "Jaafariyyah" katika Mji wa "Edinburgh" iliyohudhuriwa na kundi la Wapenzi na Wafuasi wa Ahlul-Bayt wa Isma na Watoharifu (a.s).
14 Januari 2025 - 21:00
News ID: 1522872-