Waumini wa Madhehebu ya Shia Ithna Ashari, wamejitokeza kwa wingi katika Mkesha wa Usiku wa 19 wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, uliofanyika Katika Hawza ya Imam Sadiq (a.s), ndani ya Masjidul Ghadir, Kigogo, Post, Dar-es-Salam, Tanzania.
20 Machi 2025 - 18:07
News ID: 1543891
Your Comment