Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (AS) - Abna - Sambamba na Usiku wa 21 wa Ramadhani, usiku wa kuuawa Shahidi Amir al-Mominin Ali (AS), na usiku wa pili wa Lailatul Qadr, Marasimu ya kuhuisha Usiku huo, na maombolezo na usomaji wa dua ya Jaushen Kabir ilifanyika katika Chuo Kikuu cha Isfahan ikiwajumuisha Wanafunzi wa vyuo mbalimbali.

22 Machi 2025 - 17:56

Your Comment

You are replying to: .
captcha