Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul Bayt (a.s) - Abna - Sambamba na kuadhimisha Siku ya Quds Duniani, Waislamu wa Niger waliofunga Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, walitangaza uungaji mkono wao kwa Taifa linalodhulumiwa la Palestina kwa kuhudhuria kwa wingi katika Maandamano ya Siku ya Quds Duniani huko Niamey, Mji Mkuu na mkubwa zaidi wa nchi hii, katika Ijumaa ya Mwisho ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
30 Machi 2025 - 14:38
News ID: 1545874
Your Comment