Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA-, Maandamano ya Siku ya Quds Duniani yalifanyika nchini Nigeria, ambapo utawala wa nchini hii ulitumia Polisi kuyaminya na kuyakandamiza Maandamano hayo, ambapo Polisi hao waliamua kutumia risasi za moto ili kuzima maandamano hayo, na hatimaye kupelekea mauaji wa watu 18 na wengine kadhaa kujeruhiwa.
30 Machi 2025 - 15:36
News ID: 1545887
Your Comment