Kwa Mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA -: Taasisi ya Kiislamu ya S.D.O (Shiat Development Organization), Bukoba, Tanzania, inafanya kazi maridhawa za kusambaza Elimu na Maarifa ya Ahlul-Bayt (a.s). Taasisi hii inamiliki vituo Vitatu vya Kidini vilivyopo: Bukoba Mjini, Kemondo (Bukoba Vijijini), na Katobago, Wilayat ya Muleba, Mkoa wa Kagera, Tanzania.
31 Machi 2025 - 00:12
News ID: 1545986
Your Comment