Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA -: Waumini wa Kiislamu Wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) Kigoma, Kasuku, wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika Ibada (Swala) ya Eid -ul- Fitr iliyoongozwa na Shekh Hussein Moshi Abdallah. Swala hii imeswaliwa katika viwanja vya Masjid Sajjad (a.s) Mkoani Kigoma, Kijiji cha Kasuku, Barabala ya tatu, na ni Masjid inayosimamiwa na kuongoza na Sheikh Hussein Moshi na Sheikh Ridhwan Mjenjwa. Tunawakia Waislamu wote Duniani Eid Mubarak.

31 Machi 2025 - 21:55

Habari Pichani | Swala ya Eid -ul-Fitr, Kasuku l- Kigoma

Your Comment

You are replying to: .
captcha