Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA-: Swala la Eid al Fitr iliswaliwa katika Kijiji cha Ushirombo Geita, Tanzania, na huo ndio Msikiti, Nyumba ya Mwenyezi Mungu. Hakika Misikiti yote ni ya Mwenyezi Mungu. Ukitaka Mwenyezi Mungu akujengee Kasri na Nyumba ya Kifahari Peponi, basi kuwa tayari kuijenga Misikiti Duniani ili Waja wa Allah wafanye Ibada ndanimwe, wewe utakuwa umeacha Sadaka ya kubwa mno na thawabu zake zitakufuata ukiwa hapa Duniani na hata baada ya Duniani, na mpaka Peponi Biidhnillah Taala.
1 Aprili 2025 - 23:58
News ID: 1546316
Your Comment