Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA-; Uongozi wa Shiat Development Organization (SHIDO) umeendesha mafunzo ya ufundishaji kwa kutumia muongozo / Syllabus na kufanya maandalizi kabla ya kuingia Darasani kwa Walimu wa Vituo vyake Vitatu (3) vya Kidini vilivyopo Katobago, Kemondo na Bukoba Mjini.

2 Aprili 2025 - 01:03

Picha | Taasisi ya SHIDO - Bukoba, Kagera, Tanzania na Harakati zake za Tabligh katika kueneza Mafunzo na Maarifa Safi ya Ahlul-Bayt(a.s)

Your Comment

You are replying to: .
captcha