Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mawahhabi nchini Tanzania wafuata mkumbo wa Mwezi wa Saudia wasikitikiwa kulishwa hadharani mchana wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani - 1446H. Ni baada ya kubainika kuwa saudia Arabia walikosea tarehe 30 Machi, 2025(Siku ya Jumapili) haikuwa siku sahihi ya Eid al-Fitr kwa sababu Mwezi haukuandama, na siku sahihi ya Eid Al-Fitr ilikuwa ni tarehe 31 Machi, 2025 (Siku ya Jumatatu). Waislamu wote nchini Tanzania walisherehekea Siku ya Eid Fitr siku ya Jumatatu (31 Machi, 2015) ispokuwa wafuata Mwezi wa Saudia, na matokeo ya kufuata Saudia ni hayo ya kulishwa hadharani mchana wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

4 Aprili 2025 - 01:53

Habari Pichani | Mawahhabi nchini Tanzania wafuata mkumbo wa Mwezi wa Saudia wasikitikiwa kulishwa hadharani mchana wa Mwezi wa Ramadhani - 1446H

Your Comment

You are replying to: .
captcha