Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mjukuu wa Mwalimu Nyerere katika Semina ya Quds asisitiza kwamba Palestina lazima iwe huru na sisi wote ni wajibu wetu kusimama pamoja na Wapalestina na kutetea Haki za Wapalestina na Wanadamu wote wanodhulumiwa na kukandamizwa Ulimwenguni.Haiwezekani kuwepo na amani pasina haki, Wapalestina wapate haki
4 Aprili 2025 - 02:11
News ID: 1546669
Your Comment