Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Tanzania imekuwa nchi ya Kwanza na ya Kipekee Afrika kwa kuzindua jengo la Mahakama la kwanza kwa ukubwa Afrika na la 6 Duniani. Jengo hili limezinduliwa leo hii (5 April, 2025) Jijini Dodoma - Tanzania, kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ni jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, na Nyumba za Makazi ya Majaji.
6 Aprili 2025 - 00:15
News ID: 1547006
Your Comment