Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Hawzah ya Sayyid Al-Shohadaa Mjini Moshi - Tanzania, leo hii tarehe 06 April , 2025 imepata Ugeni muhimu kwa kutembelewa na Mwalimu na Sheikh wa Kiroho kutoka nje ya Tanzania. Ugeni huo haukuishia katika Hawzah hiyo, bali pia uliijumuisha Hawza nyingine ya Mabanati ya Sayyidat Al-Aqila Zainab (S.A) maarufu kama: Hawzatul - Aqilah Zainab (S.A).
6 Aprili 2025 - 19:11
News ID: 1547176
Your Comment