Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Hawza ya Imam Ridha (a.s) iliyopo Ikwiriri, Rufiji, Tanzania, imefanya Kisomo Maalum cha Kuhitimisha Qur'an Tukufu kwa ajili ya Kuwarehemu Marehemu Waumini Waliotangulia Mbele ya Haki. Ewee Mwenyezi Mungu Warehemu ndugu zetu Waumini Wanaume kwa Wanawake waliotangulia mbele ya Haki, na uwafufue pamoja na Muhammad na Aali zake Muhammad (s.a.w.w).
6 Aprili 2025 - 21:31
News ID: 1547193
Your Comment