Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Wanaharakati wanaofanya harakati za kusaidia huduma za maji vijijini nchini Tanzania kupitia jina la Ashuraa Human Charity Tanzania, wamekuwa sehemu ya ukombozi kwa jamii za vijijini. Wanaharakati hao siku zote wamekuwa wakijifaharisha na Mjukuu wa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w) Imam Hussein (a.s) kutokana na huduma hizo.
7 Aprili 2025 - 22:06
News ID: 1547480
Your Comment