Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (a.s) - ABNA-, Ayatollah Mohsen Faqihi, Mjumbe wa Jumuiya ya Walimu wa Seminari ya Qom, alitembelea Ofisi ya Wahariri ya Shirika la Habari la Kimataifa la ABNA katika Mji wa Qom, alasiri ya leo, Jumatano, Aprili 09, 2025, ili kufahamishwa kuhusu shughuli za Shirika hili. Kufuatia ziara hii, Ayatollah Faqihi alionekana akiwa sambamba na Waandishi wa Habari kutoka katika Shirika la Habari la ABNA na, katika hotuba yake, alielezea dhamira ya Vyombo vya Habari katika hali ya sasa na umuhimu wa kuzingatia maadili ya Vyombo vya Habari.

9 Aprili 2025 - 18:56

Ripoti katika Picha | Ayatollah Mohsen Faqihi atembelea Shirika la Habari la ABNA

Your Comment

You are replying to: .
captcha