Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Tamasha hili limefanyika kwa mafanikio makubwa chini ya Uongozi na Usimamizi wa Mwakilishi wa Jamiat Al-Mustafa, Dar-es-salaam - Tanzania - Dr. Ali Taqavi.
14 Aprili 2025 - 00:13
News ID: 1549041
Wanafunzi wa Jamiatul-Mustafa (S) - Tanzania - Dar-es-salaam, na wengine wa vyuo vingine mbalimbali vya Nchini Tanzania, wameshiriki kwa shauku na hamasa kubwa katika Mashindano haya ya Hifdhi ya Qur'an Tukufu na Hadithi.
Your Comment