Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Wanafunzi wa Hawzat Imam Ridha (a.s) Ikwiriri - Tanzania, iliyopo chini ya Taasisi ya Kiislamu ya Hojjat al-Asr - Tanzania, wakiwa katika programu mbalimbali za Kidini ambazo ni sehemu ya ratiba zao za kila siku katika Hawzat hiyo.

16 Aprili 2025 - 02:23

Habari Pichani | Shughuli za Kisayansi (Kiilmu) na Utamaduni katika Hawza ya Imam Reza (as) - Ikwiriri - Tanzania

Shughuli hizo za Kisayansi na Kitamaduni ni pamoja na:
1_ Kufanya Mubahatha wa Kielimu ili kujiimarisha zaidi katika masomo yao ya kila Siku.

Habari Pichani | Shughuli za Kisayansi (Kiilmu) na Utamaduni katika Hawza ya Imam Reza (as) - Ikwiriri - Tanzania

2_ Kushiriki katika Sala za Jamaa kikamilifu.

3_ Na kusoma Dua mbalimbali.

Habari Pichani | Shughuli za Kisayansi (Kiilmu) na Utamaduni katika Hawza ya Imam Reza (as) - Ikwiriri - Tanzania

Amani, Rehema na Baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yenu.

Habari Pichani | Shughuli za Kisayansi (Kiilmu) na Utamaduni katika Hawza ya Imam Reza (as) - Ikwiriri - Tanzania

Tarehe: 15 / 04 / 2025.
Sayyid Aref Ali Naqvi.

Your Comment

You are replying to: .
captcha