Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Uongozi wa Khoja Shia Ithna-Asheri Jamaat, Dar es Salaam (KSIJ - DAR) unatoa Shukran za dhati kwa Waumini wote waliojitokeza ili kushiriki, kuongea, na kusimama kidete kwa ajili ya kutetea Haki. Sapoti yenu ya dhati wakati wa maonyesho ya Kibanda cha Picha cha Siku ya Quds katika kuonyesha mshikamano wetu kwa Palestina na Wapalestina Madhlumu, ilikuwa ya nguvu na ya kutia moyo. 📸 Furahieni matukio hayo ya Quds Day kwa kutazama ghala kamili la Picha hapa:
Sapoti yenu ya dhati wakati wa maonyesho ya Kibanda cha Picha cha Siku ya Quds katika kuonyesha mshikamano wetu kwa Palestina na Wapalestina Madhlumu, ilikuwa ya nguvu na ya kutia moyo.
Furahieni matukio hayo ya Quds Day kwa kutazama ghala kamili la Picha hapo chini
Your Comment