Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Jeshi la FFU - Kikosi Maalum cha Kuzuia Ghasia Tanzania, wametembelea Makao Makuu ya Watoto Yatima na waishio katika mazingira magumu ya Taasisi ya Goodwill Children's Home, iliyopo katika Mtaa wa Mwakidila, Jijini Tanga, Tanzania (Jana: Tarehe 19 - 04 - 2025).
20 Aprili 2025 - 17:45
News ID: 1550798
Your Comment