Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Kipindi cha Darsa la Qur'an Tukufu kinachofanyika kila Siku ya Alhamisi katika Hawzat ya Kisayansi ya Jamiat al-Mustafa (sa) Dar-es-Salam - Tanzania, kikiongozwa na Sheikh Alhaj Muhammad Jafar. Katika Darsa la leo, Aya Tukufu za Shifaa zimechunguzwa kwa kina zaidi na kutolewa ufafanuzi wake na maana zake.
24 Aprili 2025 - 14:32
News ID: 1551919
Your Comment