Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Dk. Ali Pourmarjan, Mshauri wa Utamaduni wa Ubalozi wa Iran Nairobi leo tarehe 24 Aprili 2025 amemtembelea Askofu Mkuu Philip Anyola katika Jimbo Kuu la Nairobi ambapo walitafuta njia za ushirikiano kwenye mazungumzo ya kidini. Mchungaji Innocent Maganya pia alihudhuria. Dk. Pourmarjan aliwapa pole Waumini Wakatoliki kwa kutia saini kitabu cha Maombolezo kutokana na Kifo cha Papa Francis, Kiongozi Mkuu wa Wakatoliki Duniani.
24 Aprili 2025 - 15:13
News ID: 1551930
Your Comment