Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Sheikh Dr.Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT-TAIFA) na Sheikh Abdu Simba, Mkurugenzi wa Mambo ya Dini Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar - Tanzania, walipata fursa ya kutembelea Chuo cha Qur'an Tukufu cha Jamiat Al-Mustafa (s) kilichopo Zanzibar - Tanzania.

25 Aprili 2025 - 14:53

Sheikh Dr.Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT-TAIFA) atembelea Chuo cha Qur'an Tukufu Zanzibar + Picha

Katika Ziara hiyo, walizungumza na Wanafunzi wa Chuo hicho, na kuwapata nasaha mbalimbali na muhimu za Kielimu na maarifa.

Sheikh Dr.Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT-TAIFA) atembelea Chuo cha Qur'an Tukufu Zanzibar + Picha

Aisha Sheikh Dr. Alhad Mussa Salum, alisisitiza zaidi juu ya Umoja wa Kiislamu na Mshikamano wa Waislamu wote kwamba haya ndiyo Maelekezo ya Mwenyezi Mungu kwa Umma wa Kiislamu ambayo Waislamu wote tunapaswa kuyatii na kuyazingatia, kwa sababu Mola wetu ni mmoja, na Mtume wetu ni mmoja (s.a.w.w), na Kibla Chetu ni Kimoja, na Kitabu chetu ni kimoja (Qur'an Tukufu).

Sheikh Dr.Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT-TAIFA) atembelea Chuo cha Qur'an Tukufu Zanzibar + Picha

Hayo na mengine mengi ni mambo yanayowaunganisha Waislamu Kote Duniani bila kuzingatia utofauti wa Madhehebu zetu.

Sheikh Dr.Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT-TAIFA) atembelea Chuo cha Qur'an Tukufu Zanzibar + Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha