Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Sala ya Ijumaa imeswaliwa Leo hii katika Chuo cha Jamiat Al-Mustafa (s) Foundation, Dar-es-salaam - Tanzania. Khatibu wa Ijumaa hii alikuwa ni: Sheikh SHABAN ZUBERI. Na mada muhimu iliyoangaziwa katika Khutba zote mbili ilikuwa ni: Maana ya Toba na Umuhimu wake kwa Waumini.

25 Aprili 2025 - 15:22

Sala ya Ijumaa | "Maana ya Toba na Umuhimu wake kwa Waumini" - Masjid Jamiat Al-Mustafa (s), Dar-es-salaam - Tanzania + Picha

Your Comment

You are replying to: .
captcha