Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Rais wa Iran Dr. Masoud Pezeshkian alijitokeza Leo hii kwenye uwanja wa soka kabla ya kuadhimisha Wiki ya Wafanyakazi na kushiriki katika mchezo ulioshirikisha Timu ya Wafanyakazi na Timu ya Maveterani, akisherehekea michango ya Wafanyakazi kote nchini. ⚽️Michezo ni Afya.
25 Aprili 2025 - 21:34
News ID: 1552195
Your Comment